0
  Mlinzi wa timu ya taifa ya Australia Mile Jedinak akijaribu kumzuia mshambuliaji wa timu ya taifa ya Spain Andres Iniesta
katika kinyang'anyiro cha kugombea kombe la dunia huko Brazil..mpaka mwisho wa mchezo Spain 3-0 Australia.

 

__________________________________________________________________

UHOLANZI YAENDELEZA VICHAPO KOMBE LA DUNIA....Yaifunga Chile 2-0

 Goli la kwanza kwa upande wa timu ya taifa ya Uholanzi likifungwa na kijana Leroy Fer kwa kichwa...Uholanzi imeishinda Chile kwa goli 2-1
Wachezaji wa timu ya taifa ya Uholanzi wakipongeana kwa ushindi wa goli 2-0 dhid ya Chile jana
______________________________________________________________


Kundi B

Australia 0
3 Uhispania
Kipindi kizima
Netherlands 2
0 Chile
Kipindi kizima

Kundi A

Cameroon 1
4 Brazil
Kipindi kizima
Croatia 1
3 Mexico
Kipindi kizima

Post a Comment

 
Top