Mwenyekiti
wa Kamati namba sita ya Bunge Maalum la Katiba Stephen
Wassira(katikati) akisoma dua ya kuharisha kikao cha Kamati leo mjini
Dodoma. Wengine ni Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba Samuel
Sitta(kulia) na Makamu Mwenyekiti wa Kamati hiyo Dkt. Maua Abeid
Daftari(kushoto).
Mjumbe wa
Bunge Maalum la Katiba Ismail Jussa akitoa mchango wake leo mjini
Dodoma kwa Mwenyekiti wa wa Bunge Maalum la Katiba Samuel Sitta(hayupo
pichani)wakati alipotembelea Kamati namba Sita kujionea maendeleo
yaliyokwishafikiwa katika kujadili sura ya kwanza na sita ya rasimu mpya
ya Katiba.
Mjumbe wa
Bunge Maalum la Katiba Kangi Lugola akitoa mchango wake leo mjini
Dodoma kwa Mwenyekiti wa wa Bunge Maalum la Katiba Samuel Sitta(hayupo
pichani)wakati alipotembelea Kamati namba Sita kujionea maendeleo
yaliyokwishafikiwa katika kujadili sura ya kwanza na sita ya rasimu mpya
ya Katiba.
Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba Samuel Sitta(kulia) akisalimiana na Mjumbe wa Bunge hilo Godbless Lema(kushoto)
leo mjini Dodoma wakati akitembelea Kamati mbalimbali kujionea
maendeleo ya uchambuzi wa vifungu mbalimbali vya rasimu ya Katiba mpya
kwa sura ya Kwanza na Sita.
Mjumbe wa
Bunge Maalum la Katiba Freeman Mbowe akitoa mchango wake leo mjini
Dodoma kwa Mwenyekiti wa wa Bunge Maalum la Katiba Samuel Sitta(hayupo
pichani)wakati alipotembelea Kamati namba Saba kujionea maendeleo
yaliyokwishafikiwa katika kujadili sura ya kwanza na sita ya rasimu mpya
ya Katiba.
Mjumbe wa
Bunge Maalum la Katiba Benadetha Mshashu akitoa mchango wake leo mjini
Dodoma kwa Mwenyekiti wa wa Bunge Maalum la Katiba Samuel Sitta(hayupo
pichani)wakati alipotembelea Kamati namba saba kujionea maendeleo
yaliyokwishafikiwa katika kujadili sura ya kwanza na sita ya rasimu mpya
ya Katiba.
Mwenyekiti
wa Bunge Maalum la Katiba Samuel Sitta(kulia) akizungumza na wajumbe
wa Kamati namba Sita (6) ya Bunge hilo leo mjini Dodoma wakati
akitembelea Kamati mbalimbali kujionea maendeleo ya uchambuzi wa vifungu
mbalimbali vya rasimu ya Katiba mpya kwa sura ya Kwanza na Sita.
Wengine ni Mwenyekiti wa Kamati hiyo Stephen Massato Wassira(katikati)
na Makamu Mwenyekiti wa Kamati hiyo Dkt. Maua Abeid Daftari(kushoto)
Spika
Mstaafu wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Pius Msekwa (kulia)
akitoa ufafanuzi leo mjini Dodoma kuhusu hati ya Muungano kwa wajumbe
wa Kamati namba mbili(2) ya Bunge Maalum la Katiba baada ya wajumbe hao
kumuomba aende kuwaelimisha juu ya hati hiyo. Wengine ni Mwenyekiti wa
Kamati namba mbili Shamsi Vuai Nahodha(katikati) na Mwanasheri Mkuu wa
Serikali ya Mapinduzi Zanzibar Othaman Masoud Othaman(kulia)
Mwanasheri
Mkuu wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar Othaman Masoud Othaman(kulia)
akitoa ufafanuzi leo mjini Dodoma kuhusu hati ya Muungano kwa wajumbe wa
Kamati namba mbili(2) ya Bunge Maalum la Katiba baada ya wajumbe hao
kumuomba aende kuwaelimisha juu ya hati hiyo. Wengine ni Mwenyekiti wa
Kamati namba mbili Shamsi Vuai Nahodha(katikati) Spika Mstaafu wa Bunge
la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Pius Msekwa (kulia).
Post a Comment