Kiasi ya watu 12 wameuawa baada ya treni la abiria kuligonga basi
lililokuwa likivuka reli jijini Nairobi, Kenya. Shirika la Msalaba
Mwekundu la Kenya limesema watu wengine kadhaa wamejeruhiwa kufuatia
ajali hiyo mbaya iliyotokea mapema leo. Ajali za barabarani
zinazosababisha
idadi kubwa
ya vifo hutokea kila mara nchini Kenya. Kuna ukiukwaji mkubwa wa sheria
za barabara na mabasi yanayojaa abiria kupinduka, kila mara huendeshwa
kwa mwendo wa kasi na kuyapita magari mengine ili kupata faida ya
haraka.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Post a Comment