0
Arsene Wenger alikasirika baada ya kuambiwa kwamba atafutwa kazi mwisho wa msimu huu iwapo hatojiuzulu. (Times - subscription required)
Image captionArsene Wenger alikasirika baada ya kuambiwa kwamba atafutwa kazi mwisho wa msimu huu iwapo hatojiuzulu. (Times - subscription required)
Arsene Wenger alikasirika baada ya kuambiwa kwamba atafutwa kazi mwisho wa msimu huu iwapo hatojiuzulu. (Times - subscription required)
Arsenal iko katika mazungumzo na mkufunzi wa zamani wa Barcelona Luis Enrique, 47, kuhusu kuchukua mahala pake Arsene Wenger (Mail)
Mkufunzi wa Ujerumani Germany Joachim Low
Image captionMkufunzi wa Ujerumani Germany Joachim Low
Mkufunzi wa Ujerumani Germany Joachim Low, mkufunzi wa Juventus Max Allegri, kocha wa Monaco Leonardo Jardim na mkufunzi wa Celtic Brendan Rodgers ni miongoni mwa wakufunzi walioorodheshwa kumrithi Wenger. (Mirror)
Mkufunzi wa zamani wa Chelsea Carlo Ancelotti, 58, amesema kuwa atakubali ombi kutoka kwa Arsenal. (Evening Standard)
Mkufunzi wa zamani wa Chelsea Carlo Ancelotti, 58, amesema kuwa atakubali ombi kutoka kwa Arsenal. (Evening Standard)
Image captionMkufunzi wa zamani wa Chelsea Carlo Ancelotti, 58, amesema kuwa atakubali ombi kutoka kwa Arsenal. (Evening Standard)
Arsene Wenger anataka kuendelea na ukufunzi mara tu atakapoondoka Arsenal . (Goal)
Raia huyo wa Ufaransa hana lengo la kujiuzulu kutoka kwa soka na huenda akachukua wadhfa wa kuifunza timu ya kitaifa, huku akipigiwa upato kuchukua kazi ya ukufunzi katika klabu za Monaco au Everton(Telegraph)
Arsene Wenger aliweka habari za kuondoka kwake Arsenal kuwa siri kubwa kutoka kwa wachezaji na akazungumzo kuhusu habari hizo muda mfupi kabla ya kusambaa siku ya Ijumaa Friday. (sun)
Mkufunzi wa Manchester City Pep Guardiola, 47, ataanzisha mazungumzo na klabu hiyo kuhusu kandarasi mpya mwisho wa msimu
Image captionMkufunzi wa Manchester City Pep Guardiola, 47, ataanzisha mazungumzo na klabu hiyo kuhusu kandarasi mpya mwisho wa msimu
Mkufunzi wa Manchester City Pep Guardiola, 47, ataanzisha mazungumzo na klabu hiyo kuhusu kandarasi mpya mwisho wa msimu huu huku raia huyo wa Uhaispania akitarajiwa kuanza kuhudumia miezi yake 12 ya kandarasi yake ya miaka mitatu.(Manchester Evening News)
Paris St-Germain wana wasiwasi kwamba mshambuliaji wa Brazil Neymar ana mpango wa kuhamia Real Madrid.(Marca, via Mail)
NeymarHaki miliki ya pichaGETTY IMAGES
Image captionNeymar
Mchezaji anayelengwa na klabu ya Tottenham Wilfried Zaha amesema kuwa angependelea kusalia katika klabu ya Crystal Palace, ambayo ndio klabu ya nyumbani ya mchezaji huyo wa Ivory Coast (Independent)
Real Madrid imejiandaa kulipa dau kubwa kwa mshambuliaji wa Bayern Munich na Poland Robert Lewandowski, 29, kuhamia klabu hiyo (Sky Sports)
Real Madrid imejiandaa kulipa dau kubwa kwa mshambuliaji wa Bayern Munich na Poland Robert Lewandowski, 29, kuhamia klabu hiyo (Sky Sports)Haki miliki ya pichaGETTY IMAGES
Image captionReal Madrid imejiandaa kulipa dau kubwa kwa mshambuliaji wa Bayern Munich na Poland Robert Lewandowski, 29, kuhamia klabu hiyo (Sky Sports)
AC Milan inataka kumsajili mshambuliaji wa Juventus Mario Mandzukic, lakini mchezaji huyo pia analengwa na vilabu vya ligi ya Chinese Super League. (Calicomercato)
Mkufunzi wa Tottenham Mauricio Pochettino haamini kwamba yeye na mwenzake wa Manchester United Jose Mourinho wanakabiliwa na shinikizo kuuu kushinda taji msimu huu huku wakijiandaa kwa mechi ya nusu fainali ya kombe la FA siku ya Jumamosii . (Times - subscription required)

Post a Comment

 
Top