Timu ya Makuzi fc mabingwa wapya bonaza la Mashujaa fm 89.9 baada ya kuilaza timu Leicester city kwa mikwaju ya penaiti 4-3 mchezo lilofanyika desemba 2 katika uwanja wa Ukote Kilwa Kivinje
Meneja wa radio Mashujaa fm,Zakia Gasper akitoa shukrani kwa wadau mbalimbali walioweza kufanyikisha shughuli nzima ya bonanza na amehaidi ataendelea kufanya mabonaza mengine na itakuwa endelevu
Timu ya Leicester city waliweza kulazwa kwa mikwaju ya penaiti 4-3
Kapteni wa timu ya Leicester city akipokea jenzi pea moja pamoja na mpira mmoja
Timu ya Makuzi Academy fc iliweza kuutumia uwanja wao vema kwa kuisambaratisha Leicester city magoli 4-3 mara baaada ya dakika 90 kumalizika kutoka sare ya 0-0
Wazee wa Singeli hawakuachwa hapa alitafutwa mshindi mmoja ili ajinyakulie T shirt ya Mashujaa fm
Mbunge wa Kilwa Kusini Mh. Suleiman Ally Bungara akiwa na timu ya waandishi wa Mashujaa fm akifuatilia mpira
Mbunge wa Kilwa Kusini Mh. Suleiman Ally Bungara hakukosa kuangalia mpambano na aliweza kuishangilia timu ya Makuzi Academy fc akiwa na timu ya waandishi na watangazaji wa Mashujaa fm
Mchezaji wa timu ya Makuzi academy akimirika mpira kwenye mchezo dhidi ya Leiester city
Hatua ya mikwaju ya penaiti ilifuata na timu ya Makuzi academy fc iliweza kutumia vema kwa kuichapa Leicester city magoli 4-3
Post a Comment