Timu ya Kariakoo Lindi imeweza kufanya vizuri nyumbani kwa kuweza kujipatia nafsi ya kuendelea na a kombe la Fa baada ya kuichapa timu ya Trans camp bao sita kwa tano,
Mchezo huyo uliochezwa disemba 22 mpaka dakika 90 timu zote zilitoka sare ya bila kufungana ndipo ulipokuja muda wa matuta, Kariako ili pata nafsi ya kushinda penait sita kwa tano na kuwapa nafsi ya kuendelea na ligi hiyo
Post a Comment