0

Mchezo kati ya timu ya Prisons dhidi ya Simba sc Leo novemba 18 umemaliza na Simba sc kuweza kupata pointi 3 muhimu baada ya kuichapa Tanzania Prisons goli 1-0.

Goli la Simba sc limegungwa na John Boco namo dakika ya 84 baada ya walizi Wa Tanzania Prisons kujivuliga.

Post a Comment

 
Top