Cristiano Ronaldo wa Real Madrid akimuacha chini mchezaji wa Las Palmas katika mchezo wa La Liga usiku wa Jumapili Uwanja wa Santiago Bernabeu. Real ilishinda 3-0, mabao ya Casemiro dakika ya 41, Marco Asensio dakika ya 56 na Isco dakika ya 74 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Subscribe to:
Post Comments (Atom)

Post a Comment