Rick Wa South ni msanii chipukizi wa HIP HOP ameachia ngoma yake mpya inayofahamika -Tetesi (Official MP3) chini ya prod Man bless wa Q record.
Msanii huyo anahitaji msaada ili aweze kufanya mziki mzuri zaidi 0653 545 108/0787 437 935 kwa sasa hana Manegement kama unaweza kumpa sapoti wasiliana nae kwa simu hapo juu.
Post a Comment