0
 Mkuu wa wilaya ya Kilwa mhe.Christopher Ngubiagai (kushoto) na mbunge wa jimbo la kilwa kusini mhe.Selemani Bungara (kulia) akikata utepe kwa uzinduzi rasmi wa kituo cha radio mashujaa fm 89.3 ulifanyika novemba 12 katika uwanja wa gaden kilwa masoko.(picha na Liwale Blog)


 Mkuu wa wilaya ya Kilwa mhe.Christopher Ngubiagai akikata utepe kwa ajili ya uzinduzi wa kituo cha radio mashujaa fm 89.3 katika uwanja wa gaden kilwa masoko



 Mkuu wa wilaya ya Kilwa mhe.Christopher Ngubiagai akisaini kitabu cha wageni katika kituo cha radio

 mbunge wa jimbo la kilwa kusini mhe.Selemani Bungara akisaini kitabu cha wageni katika kituo cha radio mashujaa fm 89.3
 Muonekano wa studio ya Mashujaa fm 89.3 Kilwa
 Mkurugenzi wa radio Mashujaa fm 89.3 ndugu Hossea Lugano akitoa maelezo mafupi kwa mgeni rsmi





Meneja wa radio Mashujaa fm,Zakia Gaspa akizungumza neno kwenye uzinduzi wa radio kilwa

Wasanii wa kilwa nao walipewa nafasi ya kupanda jukwaani na kutoa burudani mbalimbali




Mkazi wa Kilwa masoko akikabiziwa zawadi ya radio ndogo pamoja na t shirt na mkuu wa wilaya ya Kilwa



Mkazi wa Kilwa masoko akikabiziwa zawadi ya radio ndogo pamoja na t shirt na mkuu wa wilaya ya Kilwa

Mkazi wa Kilwa masoko akikabiziwa zawadi ya radio ndogo pamoja na t shirt na mkuu wa wilaya ya Kilwa
Mkurugenzi wa radio Mashujaa fm 89.3 ndugu Hossea Lugano akitoa maelezo jinsi gani walivyojipanga ili kuweza kuwafikia wananchi 


Post a Comment

 
Top