0



leo novemba 11 kwenye bonanza la Mashujaa fm-Liwale kulikuwa na mchezo kati ya timu Mitumba fc Vs Liwale Combine fc mchezo uliopigwa uwanja wa wilaya ya Liwale mkoani Lindi.




Mchezo huu umemalizika kwa timu ya Mitumba fc kuweza kuibuka na ushindi wa mabao 3-2. na kuifanya timu ya Mitumba Fc kutawazwa  mabingwa wa Bonanza la Mashujaa Fm-Liwale 2017


Timu ya Mitumba fc ilikuwa ya kwanza kupata goli lililofungwa na Lawrance Fusi namo dakika ya 49 baada ya dakika 6 timu ya Liwale Combine fc ilisawazisha goli katika dakika ya 55 na dakika ya 66 combine fc walipata penaiti na Abdu Badi aliweza kuipatia timu yake goli la pili.

Dakika ya 76 Haikosi Mpwate mchezaji wa timu Mitumba fc aliweza kusawazisha baada ya kupiga adhabu ndogo pia Abdi Badi namo dakika y6a 88 aliweza kujifunga mwenyewe wakati akijaribu kuokoa mpira.

Post a Comment

 
Top