Ligi kuu ya Vodacom Tanzania bara imeendelea tena leo Jumamosi Oktoba 21, 2017 kwa michezo sita ya mzungukowa saba katika viwanja mbalimbali. matokeo ya mechi zote za leo ni haya hapa chini
Simba 4-0 Njombe Mji
Mbao Fc 0-0 Azam Fc
Mbeya City 2-0 Ruvu Shooting
Lipuli Fc 1-0 Majimaji
Mtibwa Sugar 1-0 Tanzania Prisons
Ndanda Fc 0-0 Singida United
Kesho Jumapili oktoba 22 kutakuwa na mechi moja ya kukamilisha mzunguko wa saba ambapo Stand United itacheza na Yanga katika uwanja wa Kambarage Shinyanga
Post a Comment