Muhtasari
- Vituo vya kura vitafunguliwa saa kumi na mbili alfajiri
- Kiongozi wa upinzani Raila Odinga amesusia uchaguzi huo na kuwataka wafuasi wake wasalie manyumbani
- Mwenyekiti wa tume ya uchaguzi Wafula Chebukati amesema uchaguzi unaweza kuahirishwa baadhi ya maeneo kukiwepo na ukosefu wa usalama
- Uchaguzi huu unatokana na hatua ya Mahakama ya Juu kufuta uchaguzi uliofanyika tarehe 8 Agosti
- Katika kituo cha maktaba ya taifa Garissa, upigaji kura haujaanza. Makarani na maafisa wa uchaguzi wanaendelea kuandaa vifaa vya kupigia kura. BOFYA>>HAPA<< KUANGALIA MATANGAZO YA MOJA KWA MOJAMwandishi wa BBC Bashkas Jugsoday ametutumia picha hizi:
Post a Comment