0
Tume ya Utumishi ya walimu wilaya ya Longido imewafukuza walimu 14 kwa makosa mbalimbali ikiwemo la Utoro kazini kwa muda unaozidi siku Tano (5 days) na Kuendelea, Hivyo walimu hao wameondoliwa kwenye Regista ya walimu.
Kupitia Taarifa iliyotolewa na Kaimu Katibu Tume ya Utumishi ya Walimu wilaya ya Longido iliyotolewa Julai 19, 2017 imeorodhesha majina ya walimu hao 14 kama inavyoonekana kwenye taarifa hiyo hapa Chini.

Post a Comment

 
Top