Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Grace Matemu ambaye ni Meneja wa tawi la Benki ya NMB la Bunge wakati alipokwenda katika tawi hilomjini Dodoma kupata huduma za kibenki Juni 15, 2017.Waziri Mkuu,Kassim Majaliwa akifungua Mkutano wa Maafisa Mifugo wa Mikoa na Wilaya kwenye ukumbi wa Chuo cha Mipango mjini Dodoma Juni 15, 2017.Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akimkabidhi Waziri wa Kilimo, Mifugo na Uvuvi, Dkt. Charles Tizeba kitabu cha “Mwongozi wa kitaifa wa Usimamizi wa Huduma za Mifugo” baada ya kukizindua kwenye Mkutano wa Maafisa Mifugo wa Wilaya na Mikoa kwenye ukumbi wa Chuo cha Mipango mjini Dodoma, Juni15, 2017.Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiagana na Waziri wa Kilimo, Mifugo na Uvuvi, Dkt. Charles Tizeba baada ya kufungua Mkutano wa Maafisa Kilimo wa Wilaya na Mikoa kwenye ukumbi wa Chuo cha mipango mjini Dodoma Juni 15, 2017. Kushoto ni Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais TAMISEMI, George Simbachawene na Kulia ni Naibu Waziri wa Kilimo, Mifugo na Uvuvi, William Tate Ole- Nasha.
(Picha na ofisi ya Waziri Mkuu)
Post a Comment