Mwenyekiti
wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Azzan Zungu akiongoza
kikao cha hamsini na nne cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini
Dodoma Juni 23, 2017.
Naibu
Waziri wa Fedha na Mipango Mhe.Dk Ashatu Kijaji akijibu maswali
mbalimbali ya wabunge katika kikao cha hamsini na nne cha Mkutano wa
saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Juni 23, 2017.
Naibu
Waziri wa Elimu ,Sayansi na Teknolojia Mhe.Eng Stella Manyanya akijibu
maswali mbalimbali ya wabunge katika kikao cha hamsini na nne cha
Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Juni 23, 2017.
Waziri
wa Mambo ya Ndani Mhe. Mwigulu Nchemba akijibu maswali mbalimbali ya
wabunge katika kikao cha hamsini na nne cha Mkutano wa saba wa Bunge la
11 leo Mjini Dodoma Juni 23, 2017.
Waziri
wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na watu
wenye Ulemavu Mhe.Jenista Mhagama akijadili jambo na Naibu Waziri wa
Fedha na Mipango Mhe.Dk Ashatu Kijaji katika kikao cha hamsini na nne
cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Juni 23, 2017.
Waziri
wa Maliasili na Utalii Mhe. Prof Jumanne Maghembe akiteta jambo na
Mbunge wa Viti Maalum Bi Martha Mlata katika kikao cha hamsini na nne
cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Juni 22, 2017.
Waziri
wa Ardhi,Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. William Lukuvi
wakifuatilia jambo na Mbunge wa Nkasi kaskazini Mhe. Ally Kessy katika
kikao cha hamsini na nne cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini
Dodoma Juni 23, 2017.
Naibu
Waziri Wizara ya Maji na Umwagiliaji Mhe. Isack Kamwelwe akimskiliza
Mbunge wa Kasulu Mjini Mhe. Daniel Nsanzugwako katika kikao cha hamsini
na nne cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Juni 23,
2017.
Picha Zote na Daudi Manongi- Dodoma MAELEZO, DODOMA
Post a Comment