Mkuu
wa Jeshi la Polisi nchini IGP Simon Sirro akikagua nyumba iliyochomwa
moto na wahalifu waliofanya mauaji ya mwenyekiti wa kitongoji na afisa
mtendaji wa kijiji cha mangwi, kata ya mchukwi wilayani kibiti jana
alipokwenda kuwapa pole baada ya kutokea mauaji hayo. picha na hassan mndeme-jeshi la polisi.
Mkuu
wa Jeshi la polisi nchini IGP Simon Sirro akisalimiana na wananchi wa
kijiji cha Mangwi, kata ya mchukwi wilayani kibiti jana alipokwenda
kuwapa pole baada ya kutokea mauaji ya mwenyekiti wa kitongoji na afisa
mtendaji wa kijiji. Picha na Hassan Mndeme-Jeshi la polisi.
Mkuu
wa Jeshi la polisi nchini IGP Simon Sirro akizungumza na wananchi wa
kijiji cha mangwi, kata ya mchukwi wilayani kibiti jana alipokwenda
kuwapa pole baada ya kutokea mauaji ya mwenyekiti wa kitongoji na afisa
mtendaji wa kijiji hicho. IGP Sirro alitumia fursa hiyo kuwataka
wananchi kijijini hapo kutowafumbia macho wahalifu wanaotenda mauaji
hayo na kuwataka kuwa na kushirikiana na jeshi la polisi kwa kutoa
taarifa za wahalifu hao. picha na hassan mndeme-jeshi la polisi.
Mkuu
wa Jeshi la polisi nchini IGP Simon Sirro akitoa rambirambi ya msiba
kwa wananchi wa kijiji cha mangwi, kata ya mchukwi wilayani kibiti jana
alipokwenda kuwapa pole baada ya kutokea mauaji ya Mwenyekiti wa
kitongoji na Afisa Mtendaji wa kijiji hicho. picha na Hassan
Mndeme-Jeshi la Polisi.
Post a Comment