0

Ajali mbaya imetokea mlima Rhotia Karatu Arusha baada ya basi lililokuwa limemeba wanafunzi waliokuwa wanaenda kufanya mazoezi ya ujirani mwema Karatu kutumbukia kwenye korongo
Kamanda wa Polisi mkoani Arusha Charles Mkumbo athibitisha na kusema atatoa taarifa kama ajali hiyo imesababisha madhara akifika eneo la tukio, Taarifa zaidi tutakuza baadae..........


Kamanda wa Polisi Arusha, Charles Mkumbo amethibitisha kutokea ajali hiyo akisema taarifa zaidi kuhusu ajali hiyo zitatolewa baadae lakini taarifa zinasema Watoto 31 na Walimu wamefariki dunia.



Post a Comment

 
Top