Rais John Pombe Magufuli amemteua Anne
Kilango Malecela kuwa mbunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.Mwaka
2016 Anne Kilango aliteuliwa kuwa mkuu wa mkoa wa Shinyanga kisha
kutumbuliwa kutokana na kusema kuwa mkoa wa Shinyanga hauna watumishi hewa.
Post a Comment