Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Waziri wa Mambo ya Ndani, Mwigulu
Nchemba baada ya kuwasili Shelui mkoani Singida kuwa mgeni rasmi katika
Baraza la Maulid Desemba 12, 2016. Kulia ni Waziri wa Nchi, Ofisi ya
Makamu wa Rais, January Makamba. Muungano na Mazingira.
Nae Mufti Mkuu wa Tanzania, Sheikh Abubakar Zubeiry amesema “Jambo
ambalo Waislamu tunatakiwa kuwa nayo ni kupendana, tufanye kama Mtume
wetu, yeye alikuwa akijenga mshikamano, akijenga upendo akijenga umoja
na kama tunataka kumfata tumwige Mtume katika kupendana, tuache majungu,
fitna na tuache kila kitu kisicho na faida,
|
Post a Comment