Wazanzibari wapatao 40,000 wanaripotiwa kuwasilisha kesi katika Mahakama ya Haki ya Afrika Mashariki wakihoji uhalali wa Muungano wa mwaka 1964 kati ya Tanganyika na Zanzibar uliounda Tanzania.
DW imezungumza na mmoja wa wawakilishi wa walalamikaji kwenye shauri hilo, Rashid Salim Adiy, kutaka kuujuwa undani wa madai yao.
KUSIKILIZA MAZUNGUMZO HAYO BOFYA >>HAPA
Post a Comment