Sikiliza Sauti ya mtendaji wa kijiji cha Mbaya Saidi Machwiko akisoma mapato na matumizi
Ofisi ya mtendaji wa kijiji cha Mbaya
Mtendaji wa kijiji cha Mbaya Saidi Machwiko akisoma mapato na matumizi.
Wananchi wa kijiji cha Mbaya kata ya Mbaya wilaya ya Liwale mkoani Lindi walisomewa mapata na matumizi,mapato ya kuanzia tarehe 11 mwezi wa 4 mpaka tarehe 1 mwezi wa 10 katika mkutano wa uliofanyika octoba 17 mwaka 2016.
Mtendaji wa kijiji hicho,Saidi Machwiko alisema mapato ya kijiji hicho yalikuwa ni shilingi 1,267,815 na matumizi yalikuwa shilingi 1,176,250 na kijiji hicho kina akiba ya shilingi 91,565.
Post a Comment