Ratiba ya ligi daraja la nne maarufu (Kuchauka cup 2016) inayofanyika katika wilaya ya Liwale mkoani Lindi wiki hii kutakuwa na michezo mbalimbali.
Octoba 31 kutakuwa na mchezo kati
ya Polisi fc dhidi ya Nangando fc,novemba mosi kutakuwa na mchezo kati ya ABC
FC dhidi ya Sido fc,novemba 2 mchezo kati ya timu ya Black Stars dhidi ya New
generation,novemba 3 mchezo kati ya timu ya Polisi fc dhidi ya Sido fc na
novemba 4 kutakuwa na mchezo kat ya timu ya Likongowele fc dhidi ya ABC FC
07/11/2016 BLACK STARS Vs SIDO FC
08/11/2016 NEW GENERATION Vs POLISI FC
09/11/2016 NANGANDO FC Vs ABC (MPENGERE) FC
10/11/2016 BLACK STARS FC Vs LIKONGOWELE FC
11/11/2016 SIDO FC Vs NANGANDO FC
14/11/2016 POLISI FC
Vs BLACK STARS FC
15/11/2016 LIKONGOWELE
FC Vs SIDO FC
16/11/2016 ABC
(MPENGERE) FC Vs NEW GENERATION FC
17/11/2016 NANGANDO FC
Vs BLACK STARS FC
18/11/2016 NEW
GENERATION FC Vs LIKONGOWELE FC
21/11/2016 POLISI FC Vs ABC (MPENGERE) FC
Post a Comment