Vifaa vinavyojipinda katika soko huenda vikawa vingi kufuatia hatua ya
kampuni ya Panasonic kuvumbua betri ya lithium inayoweza kujipinda
katika maonyesho ya kiteknolojia nchini Japan.
Betri hiyo inaweza kutumika katika saa,bangili na nguo.Ni ndogo ,ikimaanisha haiwezi kutumika katika simu aina ya smartphone katika awamu hiyo.
Wataalam wanasema kuwa ni uvumbuzi mzuri ,ijapokuwa Panasonic sio kampuni ya kwanza kutengeza betri hizo.
Ben Wood ambaye ni mchanganuzi wa kampuni moja ya utafiti CCS ameaimbia BBC:Watengenezaji wengine kama vile LG na Samsung pia wameanzisha juhudi za kutengeza vifaa vinavyoweza kujipinda ,kama vile betri na vioo.

Post a Comment