0

 Mchezo wa fainali septemba 9 uliwakutanisha watani wa jadi kati ya Hawili fc nyenye jezi nyeupe na Sido fc iliovyaa jezi nyekundi mchezo uliopigwa uwanja wa wilaya ya Liwale mkoani Lindi.
  Mchezo wa fainali septemba 9 uliwakutanisha watani wa jadi kati ya Hawili fc nyenye jezi nyeupe na Sido fc iliovyaa jezi nyekundi mchezo uliopigwa uwanja wa wilaya ya Liwale mkoani Lindi.
  Mchezo wa fainali septemba 9 uliwakutanisha watani wa jadi kati ya Hawili fc nyenye jezi nyeupe na Sido fc iliovyaa jezi nyekundi mchezo uliopigwa uwanja wa wilaya ya Liwale mkoani Lindi.

 Hii ndio staili ya ushangiliaji wa timu ya Hawili fc jana mara baada ya kuichapa Sido fc goli la pili liliofungwa na Faustine Ibrahim namo dakika ya 55
Waamuzi wa mchezo wa jana septemba 9 mwamuzi wa kati akiwa Miraji Mponi (aliyeshika mpira) akisaidiwa na Juma Kamkosa (kushoto) na Juma Ngayaga (kulia)
 Jeshi la polisi likiimirisha usalama wakati wote kuanzia mwanzo mpaka mwisho na mambo yalienda sawa sawa
 
Ligi hii imefadhiwa na chama cha Umoja Amcos chini ya
Mwenyekiti wa chama cha msingi Umoja Amcos ndugu, Hasani Mpako akitoa maelezo mafupi juu ya kuweza kufikia hata ya kumalizika kwa ligi ya Alizeti cup.
 Mratibu wa mashindano ya Alizeti cup ndugu Selemani Nangomwa akikabizi Lisara kwa mgeni rasmi katibu tarafa ya Liwale Mjini ndugu Salumu Chautundu.
                                            kikombe kikimeremeta

 Mwenyekiti wa Halmashauri ya wilaya ya Liwale ndugu Mohamedi Mtesa aliyevaa kapero upande wa kulia
Mgeni rasmi ngudu Salumu Chautundu akitoa nasaa zake chache tayari kwa kukabizi zawadi kwa washindi mbalimbali
 Timu ya Kitogoro fc ambayo ilishika nafasi ya ushindi wa tatu ligi ya Alizeti cup wakisubiri kupokea zawadi yao
  Timu ya Hawili fc ambayo mabingwa wapya wa  ligi ya Alizeti cup wakisubiri kupokea zawadi yao
  Timu ya Sido fc ambayo ilishika nafasi ya ushindi wa pili ligi ya Alizeti cup wakisubiri kupokea zawadi yao
 Mwamuzi bora Juma Ngayaga a.k.a Mtukumbe akipokea zawadi ya shilingi 20,000/=
 Kiongzo wa waamuzi wote wilayani Liwale Miraji Mponi akipokea zawadi ya jumla ya waamuzi wote kiasi cha shilingi 100,000/=
 mchezaji bora Yasini Nganyaga kutoka timu ya Hawili fc alizawadiwa kiasi cha shilingi 20,000/=
  Mfungaji  bora  kutoka timu ya Hawili fc alizawadiwa kiasi cha shilingi 20,000/=
  Kocha bora Rajabu Farijala kutoka timu ya Hawili fc alizawadiwa kiasi cha shilingi 20,000/=
 
 Golikipa  bora  kutoka timu ya Sido fc alizawadiwa kiasi cha shilingi 20,000/=
  Zawadi kwa nafasi ya tatu ni timu ya Kitogoro fc ilizawadiwa kiasi cha shilingi 300,000/= jezi seti moja na mpira mmoja

  Zawadi kwa nafasi ya pili ni timu ya Sido fc ilizawadiwa kiasi cha shilingi 500,000/= jezi seti moja na mpira mmoja
   Zawadi kwa nafasi ya kwanza ambao ni mabingwa wapya wa ligi ya alizeti cup 2016 ni timu ya Hawili fc ilizawadiwa kiasi cha shilingi 1,000,000/= kikombe chenye thamani ya shilingi laki tatu na nusu,jezi seti moja na mpira mmoja

   Zawadi kwa nafasi ya kwanza ambao ni mabingwa wapya wa ligi ya alizeti cup 2016 ni timu ya Hawili fc ilizawadiwa kiasi cha shilingi 1,000,000/= kikombe chenye thamani ya shilingi laki tatu na nusu,jezi seti moja na mpira mmoja

   Zawadi kwa nafasi ya kwanza ambao ni mabingwa wapya wa ligi ya alizeti cup 2016 ni timu ya Hawili fc ilizawadiwa kiasi cha shilingi 1,000,000/= kikombe chenye thamani ya shilingi laki tatu na nusu,jezi seti moja na mpira mmoja







TIMU ya Hawili FC imetawazwa kuwa mabingwa wapya wa Ligi ya Alizeti cup baada ya kuitembezea kichapo cha mabao 2-0 dhidi ya Sido FC kwenye Uwanja wa Halmashauri ya wilaya Liwale mkoani Lindi. 

Mchezo huo uliochezwa Jana ulianza kwa kasi kwa kila timu ilionekana kuwa na shauku ya kupata Bao. 

Lakini Hawili ilionekana kupania mchezo huo na ilianza kupata Bao la kuongoza kupitia kwa Yasini Nganyaga dakika ya 40 na lidumu hadi mapumziko. Katika kipindi cha mchezo huo uliendelea kuchezwa kwa kasi kwa kila timu ikisaka magoli lakini namo dakika ya 55 Faustine Ibrahim aliweza kuiandikia Hawili bao la pili na kudumu dakika zote 90. 

Liwale Blog ilizungumza na Nahodha wa Sido, Haikosi Mpwate alisema mchezo ulikuwa mgumu toka dakika za mwanzo Lakini alikiri ugumu wa mashindano hayo mwaka huu. Kwa upande wa Nahodha wa Hawili, Uwesu Mbala alisema mchezo huo ulikuwa mgumu kwa pande zote makosa yaliofanywa na Sido ambazo Wao walizitumia na alitoa mapendekezo kwa upande wa waamuzi waliochezesha ligi hiyo kujirekebisha makosa Yao.

 Nao wadhamini wa ligi hiyo ambao ni Chama cha Msingi Umoja (Umoja Amcos) chini ya Mwenyekiti, Hasani Mpako alisema ligi hiyo ilkuwa na lengo kuu ni kuwahamasisha wakulima, walime zao jipya la Alizeti katika wilaya ya Liwale na aliongeza kusema ligi litakuwa endelevu kila mwaka.

 Mratibu wa mashindano hayo, Selemani Nangomwa akisoma risala kwa mgeni rasmi alibainisha kuwa Umoja Amcos kimeweza kufunga mtambo wa kukamulia mafuta na kitanunua alizeti zote itakayolimwa katika wilayani hapa. 

Zawadi za mtu mmoja mmoja ni shilingi 20,000/= zilienda Mwamuzi bora Juma Ngayaga,mfungaji bora kaundi,kocha bora Rajabu Farijala kutoka Hawili fc,golikipa bora Shedraki Ng’oloko kutoka Sido fc,mchezaji bora Yasini Nganyaga kutoka Hawili fc huku zawadi ya jumla kwa waamuzi ni shindig 100,000/=

Katika zawadi hizi mkurugenzi mtendaji wa Halmashauri ya wilaya ya Liwale Justin Monko akiweza kutoa shilingi milioni moja (1,000,000/=) na mkuu wa wilaya Sarah Chiwamba aliweza kutoa mpira 3 katika kuunga mkono mshindano hayo.

Mabingwa hao, wamejinyakulia Kikombe, jezi na fedha sh. 1,000,000 wakati mshindi wa pili, Sido akipewa zawadi ya jezi seti moja,mpirammoja na fedha sh. 500,000. Mshindi wa tatu ambao ni Kitogoro walipata kitita cha sh.300,000, jezi seti moja na Mpira mmoja .

Post a Comment

 
Top