Kama unatumia programu ya Facebook Messenger, unaweza ukashituka kwa
habari hii. Programu hii inaruhusu kurekodiwa kwa sauti, picha na video
zako kwa wakati wowote.
Pia programu hii inaweza kuwapigia watu(make a
call) kwa niaba yako.
Kama unatumia programu hii, download tena na usome terms of agreement.Ukisoma terms of agreement utagundua kwamba hili kampuni kubwa la kijamii linatumia microphone zao kwa kurekodi sauti, video na picha muda wowote wanapojisikia wao kufanya hivyo.

Pia unashauriwa kabla haujapakua (download) programu yoyote ni vizuri ukaanza kusoma maelezo ili kujua masharti ya programu hiyo.

Post a Comment