Picha ya bweni hilo lionekanavyo usiku huu.
Bweni la shule ya Longido sekondari wilayani Longido mkani Arusha,limeteketea
kwa moto usiku huu,kama lionekanavyo pichani,taarifa kamili ya chanzo
cha moto huo bado hakijajulikana,hivyo tutazidi waletea taarifa kadiri ya zitakavyokuwa
zikipatikana.
Post a Comment