0


 Ili iitwe sabuni inatakiwa

  • -Ngumu kuiisha
  • -Yenye povu jingi
  • -Nyeupe

VIAMBATA VYA kutengenezea sabuni

  1. Mafuta-mawese,mise,wanyana
  2. Maji
  3. Caustic soda(costiki soda)


VIFAA VYA KUTENGENEZEA

  • Ndoo za plastiki lita 20 nne
  • Diaba 1
  • Mti wa kukorogea
  • Mashine ya kukorogea
  • Box la kugandishia
  • Mhuri wa biashara
  • Mzani wa saa
  • Vibao vya kukatia


VIFAA VYA USALAMA

  • Mask
  • Groves
  • Gum boots
  • Goggles (miwani)
  • Overall
  • Ndoo ya maji au mchanga


FORMULA
mafuta lt1+caustic soda grm135+maji mls350+sodium siligate prm100.

KUCHANGANYA
pima maji ktk ndoo ya plastic kisa weka caustic soda ktk maji weka kidogokidogo huku ukikoroga mpaka itakapo yeyuka.mchanganyiko huu unaweza kuchemka na kutoa mosh usiogope. acha ipoe kuanzia masaa 8 nazaidi.

KUCHANGANYA NA MAFUTA
yeyusha mafuta kwa kuyapasha joto kidogo ambapo unaweza kuyashika, tia sangi na mimina kidogo2 kuchanganya michanganyiko huku ukikoroga. mimina kwenye box la kugandishia acha igande tayari kwa kukata.Pia weka sodium siligate.

Post a Comment

 
Top