Msimamizi wa kampuni Knights Energy inayohamasisha watu watumie magari ya aina hiyo, Francis Romano amesema…..>>>”Watu wengi wamekuwa wakiduwazwa na gari hili mitaani hapa jijini Nairobi nchini Kenya na wengi wamependezwa nalo’
Bei ya gari hilo aina ya Nissan Leaf ni dola za kimarekani 10,000 ambazo ni kama Tsh milioni 21.88
Aidha imeelezwa kuwa gari hilo lina uwezo wa kusafiri umbali wa takriban kilomita 90 hadi 135 kabla ya betri zake kuisha chaji, kasi yake ya juu zaidi ikiwa kilomita 180 kwa saa.
Post a Comment