Baada ya kimya kirefu cha Msanii Marlaw amerudi tena na sasa amemshirikisha Fundi Samweli katika wimbo huu wake mpya iitwayo ‘Pamoja’, Video imefanyika chini ya Director Jahman.
Ukiwa kama Mdau wa Muziki usisahau kuniachia comment yako hapa na wakali hawa kutoka bongoflevani wataiona hapa.
Post a Comment