Hatua ya robo final ya ligi ya mbuzi vijana cup inayofanyika wilayani Liwale imeanza jana kwa mchezo mmoja kupigwa katika uwanja wa Shule ya msingi muungano.
Mchezo huo ulikuwa ni kali na wa kusisimua mashabiki wa
mpira mchezo ulikuwa kati ya Wakaanga sumu fc dhidi ya Kigamboni fc,
Mchezo ulio malizika kwa Wakaanga sumu kuibuka na ushindi
wa goli 2-1.
Post a Comment