Yoweri Museveni leo ametawazwa rasmi kuwa Rais mpya wa Uganda
kwa muhula wa tano mfululizo.Tayari Rais Museveni amekwisha tawala miaka
30. Kutawazwa kwake leo, ambako kunashuhudiwa na viongozi wa mataifa 14
kutoka Afrika na wageni wengine mashuhuri, kuna fuata ushindi uliojaa
ubishani katika uchaguzi wa Februari 18. 13.17pm:Miongoni
mwa marais wanaohudhuria sherehe hiyo ni pamoja na rais wa Sudan Omar
el Bashir anayeswaka na mahakama ya uhailifu wa kivita katika eneo la
Darfur na rais wa Afrika Kusini Jacob Zuma.
13.13pm:Jeshi la Uhanda latoa heshima zao kwa rais Museveni hivi sasa.
13.09pm:Wimbo wa taifa unaimbwa
12.56pm:Ni
wakati ambapo ndege za jeshi zinatoa heshima zao kwa rais
Museveni.Ndege hizo zinaonyesha uwezo wake wa kulilinda taifa la Uganda
chini ya uongozi wa rais Museveni.
12.38pm:Museveni amekabidhiwa
vifaa muhimu vya madaraka ikiwemo katiba,ngao ya mamlaka,bendera na
upanga ambao ni ishara ya jeshi. Na sasa ni zamu ya jeshi la taifa hilo kumpatia heshima rais huyo.Jeshi la Uganda
12.15pm:Rais Museveni alikagua gwaride la jeshi baada ya kuapishwa rasmi 12.10pm:Rais Yoweri Museveni aapishwa rasmi na jaji mkuu Baadhi ya watumbuizaji wa hafla hiyo
12.05pm:leo rasmi imetangazwa kuwa
siku ya mapumziko ili watu watokeze kwa wingi kwa sherehe hizo. Ingawaje
bado kuna hali ya wasiwasi kwa vile chama cha upinzani na FDC na
mgombea urais wa zamani Dk Kizza Besigye bado wanakana ushindi wa
Museveni. 12.00pm:Rais Yoweri Museveni kuapishwa kuwa rais kwa muhula wa saba mfululizo nchini Uganda
Museveni
kumkabidhi madaraka Museveni si jipya kwa Waganda. nani Rais ambaye
alilaumu mwaka 1986, viongozi wa Afrika kukaa madarakani kwa muda mrefu
sana.Kuangalia picha na maelezo zaidi>>> BOFYA HAPA
Post a Comment