Mashabiki 17 wa Liverpool walitiwa kizuizini na kuachiwa kufuatia matukio yaliyojitokea katika mchezo wa fainali Europa League Jana.
Police
wa Basel waliwakamata mashabiki 30 na kuwaweka ndani 17 wakiwa ni wa
Liverpool na 13 wa klabu ya Sevilla. Hata hivyo mashabiki hao wote
wameachiwa na walikamatwa kutokana tu na vitendo visivyo vya kiungwana
ikiwemo kufoji ticket za mchezo huo huku wengine wakileta vurugu za hapa
na pale ndani ya uwanja. Kutokana na kutokuwa na malalamiko kutoka
katika klabu ya Basel juu ya vurugu hizo, hakuna shabiki yeyote
anayeshikiliwa na polisi hadi sasa, wote wameachiwa.
Post a Comment