Inasikitisha kwakweli, ameokolewa.... na simba walioanza kumla
waliuwawa. aliingia kwenye jumba la simba akavua nguo na kuwadandia
baadae akachenjiwa...kwenye nguo zake kimekutwa kikaratasi-suicide
note...kwamba mwisho wa dunia umefika kwahiyo anajiwahi.....ana miaka
20...inaonekana alikua muumini maana alikua akimtaja
yesu....walioshuhudia wamesema....nchini Chile.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)

Post a Comment