0

Ligi ya Mbuzi vijana cup inayofanyika wilayani Liwale mkoani Lindi
Leo mei 29 kulikuwa na mchezo wa robo fainali mchezo ulipigwa ktk uwanja wa Shule ya msingi  muungano kati ya timu  Likongowele fc vs Bodaboda fc.

Mpaka mchezo unamalizika dakika 90 MATOKELikongowele fc 0-2 Bodaboda Magoli yote ya Boda Boda fc  yalifungwa na Faraja katika dakika ya 25 na dakika ya 80

Mecho wa jana kati Vijuso fc vs kombaini fc  utarudiwa kesho jioni ndani ya dk 7 ikitokea sare zitapigwa penaiti.

Post a Comment

 
Top