Ziara ya Rais Magufuli Rwanda, imeleta neema baada ya Rais wa Rwanda
Paul Kagame, kumgawia ng'ombe watano rais wa Tanzania kama ishara ya
upendo na Ushirikiano. Hii inaleta hali na Muamko mpya baina ya Tanzania
na Rwanda ulokuwa umefifia kiasi cha Rais wa Rwanda kumwambia rais wa
Tanzania aliyemaliza Muda wake Jakaya Kikwete kwamba "angemhit" Kagame
tells Kikwete "I will hit you.
Mungu atujaliye Maisha mema kati ya Tanzania na Rwanda
Mungu atujaliye Maisha mema kati ya Tanzania na Rwanda

Post a Comment