0


Ni mechi nyingine kati ya mechi zilizotazamwa sana au zilizosubiriwa kwa hamu sana na mashabiki wa Tanzania ikiwemo simba na mashabiki wa Yanga ambao timu ya Yanga walikutana na AlAhly kwenye muendelezo wa headlines za CAF, game ikapigwa uwanja wa taifa ambapo mpaka Half Time mchezo ulikua 1-1.

Mpaka Full Time mechi ikasoma vilevile 1-1 ambapo goli la kwanza liliingia dakika ya 9 Al Ahly walilipata kupitia kwa Gamal na dakika ya 19 goli la kujifunga Yanga wakalipata kupitia kwa Hegazy.

Post a Comment

 
Top