0


 Meneja Masoko wa Access Bank Bw Muganyizi Bisheko (Katikati) Akiwa na Meneja Masoko wa Resolution Insurance Bi Angela Tungaraza Pamoja na Afisa Masoko wa SDS Bw Karoli  Anatory wakati wakiongea na Waandishi wa Habari Kuhusu semina iliyoandaliwa kwajili ya Wajasiriamali wa Kati na wa Kti itakayowasaidia  Kujifunza Mbinu mbalimbali  za Kujitangaza Kibiashara kwa Grarama Nafuu.Mgeni Rasmi ni Katibu Mkuu wa Wizara ya  Viwanda Biashara na Uwekezaji Mh  Dk Adelhelm Meru.Pia watakuwepo wataalamu Mbalimbali wa maswala ya Biashara na Masoko.Semina hiyo imeandaliwa na Benki ya Access Bank kwa kushirikiana na Clouds Media group,Resolution Insurance na sds
Wafanyabiashara wote kutoka Jiji la Dar es salaam na Mikoa ya Jirani wanakaribishwa kuja kujifunza mbinu Mbalimbali za Kukuza Biashara zao, Semina Hiyo itafanyika Tarehe 23.04.2016 kuanzia Saa tano asaubuhi kwenye ukumbi wa Coco Beach jijini Dar es salaam
Semina hiyo iliyoandaliwa kwa Pamoja na AccessBank ,Clouds Media group,Resolution Insurance na sds Hakutakuwa na Kiingilio ni Bure Kabisa,Pia kutakuwa na watoa Mada Mbalimbali waliobobea kwenye maswala ya Biashara ,Washiriki wote wa semana hiyo  Wanatakiwa Kujisajili kwa Kupiga simu namba 0658370633
Wafanyabiashara wa Chini na kati ni nafasi ya Kujifunza mbinu mBalimbali za Kukuza na kuendesha Biashara zao,Pia kujua namna ya Kukabilian naChangamoto Mbalimbali zinazowakabili katika Biashara zao za Kila siku

Post a Comment

 
Top