![]() |
|
Wanafunzi wakipokesa Msaada wa Saruji tani tatu
ukikabidhiwa kwa shule hiyo kwa lengo la kusaidia ujenzi wa uzio
|
![]() |
|
Ofisa Masoko na Elimu kwa Umma
Grace Michael akigawa vipeperushi vyenye ujumbe wa huduma ya Toto Afya Kadi kwa
wanafunzi hao.
|
![]() |
|
Mkuu wa Shule hiyo Mwalimu
Albert Mabiki akizungumza na uongozi wa NHIF ulipokuwa ofisini kwake.
|
![]() |
|
Shehena ya saruji iliyotolewa na
Mfuko kwa ajili ya shule hiyo.
|
![]() |
|
Wanafunzi wakisikiliza kwa
makini elimu ya huduma za NHIF
|
![]() |
|
Mkurugenzi
wa Masoko na Utafiti NHIF
Rehani Athumani akiwahamasisha wanafunzi hao kusoma kwa bidii kwa ajili
ya kupata wataalamu wa kesho huku wakizingatia masuala muhimu ya afya
zao.
|







Post a Comment