Watu 4 wanasadikiwa kupoteza maisha baada ya kufunikwa na kifusi katika eneo la ukwamani kwa kwandobe Kawe jijini Dar es Salaam. kwa mashuhuda wa tukio hili wamesema tukio hilo limetokea majira ya saa 12 asubuhi ya leo. Harakati za ukozi zinaendelea kwa habari kamili endelea kufuatiliaLIWALE BLOG
Post a Comment