Bei ya mafuta imeshuka ghafla nchini
Iran, baada ya wasambazaji wakuu kushindwa kukubaliana katika mipango
ya kusimamisha uzalishaji ili kuweza kupunguza kasi ya usambazaji wa
mafuta hayo.Ndani ya saa chache,bei ya mafuta ilishuka kwa Zaidi ya
asilimia tano.
Wazalishaji wa mafuta walikuwa na matumaini ya
kuongeza bei lakini maongezi hayo yalisababisha mgogoro kwa Iran ,nchi
ambayo ndio soko linalotegemewa.Saudi Arabia haikutaka kujitoa katika uzalishaji labda kama Iran itakubaliana kufanya sawa na wao ingawa Wairani wanataka kuuza mafuta Zaidi ili kunufaika Zaidi kimataifa.
Post a Comment