0

Mshambuliaji wa Manchester City, Sergio Aguero akishangilia baada ya kukamilisha hat-trick yake dakika ya 80 kwa mkwaju wa penalti baada ya kipa wa Chelsea Thibaut Courtois kutolewa kwa kadi nyekundu kwa kumuangusha Fernandinho. Mabao mengine Aguero alifunga dakika za 33 na 54, Chelsea pungufu ikilala 3-0 katika mchezo wa Ligi Kuu ya England Uwanja wa Stamford Bridge, London.

Post a Comment

 
Top