Timu zikisalimiana timu iliyovaa jezi nyeusi ni Kijiwe Fc na jezi ya Blue Mikukuyumbu World soccer
Ligi ya mkoa 2015/2016
katika kituo c:Liwale
Leo kulikuwa na mchezo wa mwisho kati ya Mikukuyumbu vs Kijiwe fc mchezo uliochezwa katika uwanja wa wilaya ya Liwale
Matokeo
Mikukuyumbu 3-1 Kijiwe fc
Goli la kijiwe fc lilifungwa dakika ya 7 na Abuu Kazumari
Magoli ya mikukuyumbu yamefungwa katika ya dakika 69 na Husein Mchite,dakika 72 Hamisi Milanzi na dakika 75 goli lilifungwa na Yasini Nganyaga
Mikukuyumbu imefuzu kusonga mbele kwa point 7 kifuatia na stand worriors kutoka Lindi mjini ikiwa na point 6.

Post a Comment