
Ambapo kila mwalimu atatakiwa kuwa na kitambulisho maalum, akiongea na waandishi wa habari Mwenyekiti wa chama cha madereva Tanzania Shabani Mdemu amesema>>
"Yametikea mambo mengi, kuna watu watuchora kwenye vyombo vya habari kamamakatuni watumwa, sisi hatuko hivyo..! mtu yeyote aliye kwenye ardhi ya Tanzania ni lazima athamini mchango wa Mwalimu"
"Na kama kuna mtu anawazo lingine ambalo litakuwa na msaada basi badala ya kupinga lililoanzishwa awasilishe na lake lifanyiwe kazi, sisi kama Madereva na makondakta tumelipokea hili la Walimu kusafiri bure na kuliafiki"
Unaweza kuitazama hii video hapa chini yenye full stori…..
Post a Comment