0
Kaika Ligi ya daraja ya tatu ngazi ya mkoa katika kituo c cha Liwale,Leo kutakuwa na mchezo mkali utakaochezwa katika uwanja wa wilaya ya Liwale ambapo wenyeji timu ya VIJANA STARS itaikaribisha timu ya  STAND WORRIORS kutoka Lindi
 
  LEO VIJANA STARS Vs STAND WORRIORS

MATOKEO YA MICHEZO ILIYOPITA
27.02.2016
KIJIWE FC 0-1 VIJANA STARS

28.02.2016
MIKUKUYUMBU WORLD SOCCER 2-1  STAND WORRIORS

01.03.2016
 STAND WORRIORS 3-2 KIJIWE FC

02.03.2016
VIJANA STARS 1-1 MIKUKUYUMBU WORLD SOCCER

Post a Comment

 
Top