Mbunge
wa Jimbo la Mtama ambaye pia ni Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na
Michezo Mhe. Nape Nnauye akizungumza na wananchi wa kijiji cha Mandwanga
kwenye mkutano wa kuwashukuru na kuwapa taarifa za mambo ambayo
ameshafanya mpaka sasa.
Mbunge wa
Jimbo la Mtama ambaye pia ni Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na
Michezo Mhe. Nape Nnauye akiwasalimu Wazee wa kata ya Nahukahuka kabla
ya kuzungumza nao masuala mbali mbali ya kimaendeleo ambapo aliwashauri
wananchi wa kijiji hicho pamoja na jimbo lake kutokubali kuuza ardhi
hovyo kwani ardhi ndio urithi wao pekee unaoweza kuwainua kiuchumi.
Mzee
Chitende mbunge wa zamani wa Jimbo la Mtama ambaye sasa ni Mshauri wa
Mhe. Nape Nnauye akihutubia umati wa watu waliojitokeza kwenye mkutano
wa Mbunge na Wananchi.
Wananchi
wa kijiji cha Nahukahuka wakimsikiliza Mbunge wao Mhe. Nape Nnauye
akiwasomea vijiji vitakavyopata umeme wa Mradi wa kusambaza umeme
vijijini awamu ya tatu.
Mbunge wa
Jimbo la Mtama ambaye pia ni Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na
Michezo Mhe. Nape Nnauye akizungumza na wananchi wa kata ya Nahukahuka
kwenye mkutano wa kuwashukuru na kuwapa taarifa za mambo ambayo
ameshafanya mpaka sasa.
Mbunge wa
Jimbo la Mtama ambaye pia ni Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na
Michezo Mhe. Nape Nnauye akiangalia mashimo ya choo vya shule
yanayojengwa kwa nguvu ya wananchi wa shule ya Msingi Nahukahuka.
Mbunge wa
Zamani wa Jimbo la Mtama amabaye sasa ni mshauri wa Mbunge Mhe. Nape
Nnauye akitoa salaam za uatangulizi kwenye mkutano wa kuwashukuru watu
wa kata ya Nyangamala.
Mbunge wa
Jimbo la Mtama ambaye pia ni Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na
Michezo Mhe. Nape Nnauye akizungumza na wananchi wa kata ya Nyangamala
kwenye mkutano wa kuwashukuru na kuwapa taarifa za mambo ambayo
ameshafanya mpaka sasa.
Mbunge wa
Jimbo la Mtama ambaye pia ni Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na
Michezo Mhe. Nape Nnauye akizungumza na wananchi wa kata ya Pangatena
kwenye mkutano wa kuwashukuru na kuwapa taarifa za mambo ambayo
ameshafanya mpaka sasa.
Post a Comment