Gari la mbunge wa jimbo la Liwale mh.Zuberi Kuchauka lanasa akiwa kwenye ziara yake ya kusiliza kero za wananchi wa jimbo la Liwale hapa ilikuwa katika kijiji cha Kikulyungu akielekea kwenye Bwawa Kubwa lililopo kijijini hapo
Hivi ndio ilivyokuwa huko katika kijiji cha Kikulyungu kata ya Mkutano wilayani Liwale
Mbunge aliyevaa shati la mikono mirefu akishiri kusukuma ili kulinasua gari kwenye tope
Baada ya kufanyikisha kulinasua gari waliweza kufika kwenye Bwawa la KIHULUMILA lililopo katika kijiji cha Kikulyungu

Post a Comment