Kiukweli barabara zetu za usafiri toka wilayani liwale mkoani Lindi kupitia barabara ya
Nangurukuru kilwa adi Dar ni mbaya sana asa masika kipindi kama hiki cha mvua
nyingi na magari yananasa kila siku kutokana na ubovu wa barabara hiyo na msaada unakuwa mgumu pia
serikali hiyone hii hali maana watu wanalala njiani kwa zaidi ya siku
mbili njiani
Tazama hizi picha hapa chini ujionee..
magari yakiwa yamenasa njiani
hii ndio hali halisi kutokana na ubovu wa barabara
abiri wakiwa wamechoka na hawajui watakula nini na watatokaje na kuendelea na safari yao
Lori likiwa likwma na kupelekea kukwamisha magari zaidi ya matatu
hali ya barabara na magari yakiwa na hali hii
Duuuh ni hatari,,,, bunge wetu anaona hili alifanyie kazi
ReplyDelete