BOFYA HAPA KUPATA MATOKEO YOTE KWA SHULE ZA MSINGI MKOANI LINDI
Baraza
la Mitihani la Tanzania (NECTA), limetangaza matokeo ya mitihani ya
kujipima ya darasa la nne huku matokeo hayo yakionyesha wanafunzi wengi
wamefeli katika somo la Kiingereza kwa asilimia 65.67 katika mitihani
hiyo iliyofanyika mwishoni 2015.
Post a Comment