kampuni ya mtandao wa kijamii wa
Facebook umetangaza ongezeko kubwa la mapato na faida.miezi mitatu ya
mwisho ya mwaka 2015,faida iliongezeka mara mbili zaidi ya dola bilioni
moja na nusu ukilinganisha na mwaka 2014 katika kipindi kilekile.
Hisa ziliongezeka kwa saa baada ya kufanya biashara mjini new york na
kupata kukidhi matarajio yao.Facebook kwa sasa imevuka kiwango ambacho
wachambuzi wa masuala ya biashara walichokuwa wanakitarajira zaidi ya
mara kumi katika kipindi cha miezi mitatu.Kampuni hii iliyoko Califonia inasema watu wengi walikuwa wanatumia simu zao za mkono ili kuangalia tovuti zao na kupelekea kiwango cha asilimia themanini ya mapato katika sekta ya matangazo.
Post a Comment